kwahiyo kamanda ponda out?
Hata kama mmeshinda mahamani,waislamu hawaamini tena,tena ni watu hatari sana kwa usalama wa nchi!takbiiiir!
Acheni ushabiki.Waendesha mashitaka wamefanya uzembe pamoja na kuwa hawa jamaa walikuwa na kesi kubwa ya kujibu. Ni swala la procedure tu na hawa jamaa siku si nyingi wataletwa tena mahakamani kwa makosa haya haya.Someni sheria kwanza na sio mambo ya takbir....
kwahiyo kamanda ponda out?
tatizo wengi wa wanajamii forumu hawajui procedure za ki-mahakama,ndio maana ya ushabiki na ubishi wa vyama tu
....LATEST NEW: 10 kati ya watuhumiwa 15 walishikwa tena na polisi na taratibu za kuwaandikia upya mashitaka zinafanyika.I'm amazed that Tanzania media up to this time haven't reported on this news....!