Kesi ya Mbowe inalichafua Taifa na kuzidisha ugumu kwenye ulinzi

Unatangaza Utalii, unaita wawekezaji wwkati huo huo unasema kuna magaidi
 
Mbowe ni gaidi


Tanzania bila ugaidi inawezekana
Kesi iko mahakamani bado umejuaje kuwa ni gaidi? NatamNi wewe ni lumpen tu Kama kama mimi, Unajisemea tu kama mtu mwingine tu
 
Huo ugaidi uliorindima jana huko kwa M7 uwe fundisho ukigeuka kipande hiki na kule kwa bunge ako hao mavilaza tuu we will shidaaaa for sure
 
Unatangaza Utalii, unaita wawekezaji wwkati huo huo unasema kuna magaidi
Wanazalisha jamii ambayo haitakubali kufia chini ya kitanda. Kuna watu ambao tangu mwaka 1992 wanahangaikia demokrasia kwa njia za wazi lakini imeshindikana, watu hawa walikuwepo, wapo na watakuwepo. Sina uhakika na idadi yao kama inaongezeka au inapungua, na mbinu wanzozitumia kudai demokrasia zinabaki ZILE ZILE au zinabadilika.

It a matter of time yote yatafahamika.
 
Al Shabaab kuna siku watautumia mwanya wa nchi kujisingizia ina magaidi kufanya kweli. Watapiga tukio la kushangaza mbaki midomo wazi
Ugaidi ni ule wa jana pale Kampala.sasa siyo huu wa diary
 
Hao ni makada wa CCM tupu mazee
 
Huo ugaidi uliorindima jana huko kwa M7 uwe fundisho ukigeuka kipande hiki na kule kwa bunge ako hao mavilaza tuu we will shidaaaa for sure
Sisi hatutaki ugaidi kwakuwa magaidi wanaua hata wasiohusika na madai yao. Lakini hakuna kisichokuwa na kiasi na ukomo, hata demokrasia kubinywa Kuna ukomo wake wa kuhimili, watu wanaodai demokrasi kumiminiwa risasi ni kupitiliza kipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…