B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 12, 2021 #1 Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu. 2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile: Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia 3. Mama Helen Kijo-Bisimba mkurugenzi mstaafu LHRC naye hakubakia nyuma: Your browser is not able to play this audio. Orodha ni ndefu ndani na nje ya nchi. Tuendelee kupaza sauti haki inapoonekana kuporwa. Hayo ndiyo majumba mabovu yenyewe.
Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu. 2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile: Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia 3. Mama Helen Kijo-Bisimba mkurugenzi mstaafu LHRC naye hakubakia nyuma: Your browser is not able to play this audio. Orodha ni ndefu ndani na nje ya nchi. Tuendelee kupaza sauti haki inapoonekana kuporwa. Hayo ndiyo majumba mabovu yenyewe.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Dec 12, 2021 #2 Kumbe Samia aliwahi kubambikiwa kesi, sasa naye anasimamia kubambikiwa kesi wengine, niseme kwa kifupi anaendeleza status quo, nikategemea yeye ndie angekuwa mpigania haki imekuwa kinyume chake.
Kumbe Samia aliwahi kubambikiwa kesi, sasa naye anasimamia kubambikiwa kesi wengine, niseme kwa kifupi anaendeleza status quo, nikategemea yeye ndie angekuwa mpigania haki imekuwa kinyume chake.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 12, 2021 Thread starter #3 denooJ said: Kumbe Samia aliwahi kubambikiwa kesi, sasa naye anasimamia kubambikiwa kesi wengine, niseme kwa kifupi anaendeleza status quo, nikategemea yeye ndie angekuwa mpigania haki imekuwa kinyume chake. Click to expand... Kwa hakika aliyoyasema leo kwamba angali hajachukua hatua zozote kuyashughulikia tungali tuna safari ndefu sana. Tanpol wangali wana credibility ipi kwa nani? Kwamba kumbe wale jamaa walikuwa ni kina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne na Msemwa serikali ilikuwa wapi? Je hapa tulipo imekwisha chukua hatua zipi?
denooJ said: Kumbe Samia aliwahi kubambikiwa kesi, sasa naye anasimamia kubambikiwa kesi wengine, niseme kwa kifupi anaendeleza status quo, nikategemea yeye ndie angekuwa mpigania haki imekuwa kinyume chake. Click to expand... Kwa hakika aliyoyasema leo kwamba angali hajachukua hatua zozote kuyashughulikia tungali tuna safari ndefu sana. Tanpol wangali wana credibility ipi kwa nani? Kwamba kumbe wale jamaa walikuwa ni kina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne na Msemwa serikali ilikuwa wapi? Je hapa tulipo imekwisha chukua hatua zipi?