Kesi ya Mbowe: Kutoridhika kwa Watu kusipuuzwe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kupuuza kutoridhika (resentments) kwa watu si jambo la afya.

Yamesemwa mengi, au labda wakuu hawafikishiwi?

Misahafu inasema, ukweli usiposemwa itafika wakati hata mawe nayo yataongea.

Hatimaye mawakili wa serikali wameyatamka mahakamani wao wenyewe:

Bila shaka sasa habari hii itakuwa imeeleweka vyema zaidi kwa mawakili hawa na pia imewafikia Jaji Tiganga na wakuu serikalini.

Kwani enyi mnaojitanabaisha kwa jina "serikali," mnamwakilisha nani?

Kumbukeni, kesi hii huku mtaani inawachafua.

Habari ndiyo hiyo.

-------
Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?
 
kwa hiyo na mahakama ni "mchongo"?!

hawa wafuasi wa mboe wanadhalilisha mamlaka sana! dawa yao inaendelea kuchemka.
 
Kupuuza resentments za watu si jambo la afya.

Yamesemwa mengi, au labda wakuu hawafikishiwi?...
Kesi hii haisikilizwi mahakamani ilikwisha hitimishwa walipofungwa wengine mwaka jana, sasa ni taratibu tu za kimahakama, ambao hawataridhika wakate rufaa.
 
Hii kesi Mama Samia kupitia kwa DPP aachane nayo, itaianika Serikali yake vibaya na Jaji anayesikiliza ana wakati mgumu mno, tumhurumie.

Kuna sikio waliliita kwa jina lake tofauti na haya mengine ...
 
Hii kesi ni ya kimkakati na tayari hukumu wanayo mifukoni! huyo bibi ni shetani zaidi ya mwendazake.
Ila ajue naye mwisho wake utakuwa mchungu kuliko wa huyo mtangulizi wake. Mungu hadhihakiwi,wanatumia mamilioni ya kodi zetu kutunga kesi hii na kuwatesa watu wasio na hatia ili kufikia malengo yao ya kishetani Mungu hawezi kuwaacha lazima watapata pigo kubwa sana.
 
Malipo ni hapa hapa duniani ..
 
Hii kesi Mama Samia kupitia kwa DPP aachane nayo, itaianika Serikali yake vibaya na Jaji anayesikiliza ana wakati mgumu mno, tumhurumie.
Jaji anapelekeshwa kama houseboy wa mhindi.
 
Hii kesi Mama Samia kupitia kwa DPP aachane nayo, itaianika Serikali yake vibaya na Jaji anayesikiliza ana wakati mgumu mno, tumhurumie.
Amani ya Nchi ni ya Muhimu zaidi kuliko mboe na genge lake.
 
Amani ya Nchi ni ya Muhimu zaidi kuliko mboe na genge lake.

Tofautisha amani ya nchi na mazingira wezeshi na mwanana kwenu kuendelea na starehe zenu:

Mpaka kieleweke
 
kwa hiyo na mahakama ni "mchongo"?!

hawa wafuasi wa mboe wanadhalilisha mamlaka sana! dawa yao inaendelea kuchemka.
Mbulu kenge wewe ambaye hata kiandika hujui !!Unauwezo kuwafanya nini zaidi ya kujikomba hapo LUMUMBA upate kula!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…