Kesi ya Mbowe: Lembrus Mchome - Shahidi Mwaminifu

Huyo shahidi ni mpare!
 
Ni yupi miongoni mwa watanzania wa leo; just "mpita njia" asikiaye jirani yake akishuhudiwa uongo tena na vyombo vya dola vyenye kila aina ya silaha na mamlaka akasimama na kuiweka iliyo kweli tena kwa ujasiri mkuu hata kwa gharama ya maisha yake?

Si rahisi zaidi kusema hayanihusu mimi ngoja nikatafute ugali? Mchome amechagua kusimama pamoja na haki maana Mungu ni Mungu wa haki. Mungu ambariki sana shahidi mwaminifu Lembrus Mchome!
 
mbeleni kwao mbeleni kwetu tuumiayo Sana kuhusu shitaka mbele ni kuzurisana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…