Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.
Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.
Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaothamini haki za watu yakiwamo maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya wenye ubinafsi wao wenye kupitiliza.
"Vita ni vita Mura!"
Tumesikia "mahakamani si kwa mama zetu." Bila shaka "mahakamani ni kwa mama zao." Wao pia, kumbe ni mawakili wa mahakama.
Zimeombwa tu, Movement Order (MO), Station Diary (SD) na Occurrence Book (OB) kwa ajili ya kumkagua D/C Msemwa. kimeumana! Hakuna kuwaachia.
"Waombeni pia na ma CCTV recordings njia yote RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni. Pia data kama hizo tokea makampuni ya simu."
Ipelekwe miito ya kuwaita wote na vyote vinavyoweza kusaidia kuthibitisha lolote. Asiachwe mtu au kitu tafadhali.
Iwe ni Hangaya, Sirro, Urio, Ahadi, Chungulu, Sabaya, Lijenje, nk. Tuonane Kizimbani. Vigezo na masharti yakizingatiwa.
Wanahofia nini nyendo za D/C Msemwa kuhakikiwa?
Si kuwa ni kwa sababu: "the guilty are always afraid?"
--------
Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe