johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zamani sheria ilifundishwa pale UDSM " Mlimani" na IDM Mzumbe na kwa wakati ule tuliweza kuwatofautisha wale wa Mlimani na Mzumbe.
Kwa sasa vyuo vya sheria ni vingi sana kikiwemo kile cha mahakama Lushoto, Tanga.
Ninapofuatilia hii kesi ya Mbowe mahakama ya mafisadi nawaona mawakili wa utetezi wanajimwambafy na kuonyesha uwezo mkubwa wa kuhoji, kuuliza maswali na kuwapumbaza mashahidi.
Yaani kila Wakili anayeingia anaonekana ni mzuri kuliko aliyetangulia, hasa yule Mangula wa kwetu Ilembula.
Kesi hii inatufundisha mambo mengi likiwemo ubora wa kujiajiri.
Maendeleo hayana vyama!