Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Na mashaka na huyo komandoo..sio komandoo kipensi kweli
 
Yaani kama nao polisi wanajua ni kusudi na kweli iwe ni kusudi,wawe makini wale waliohusika kutesa na kutweza utu wa hao maaskari.Uwezekano wa kisasi kulipwa ni Mkubwa sana.Sirro anaweza akaishia kutoa pole endapo atakua bado ni IGP,ila kama atakua kashastaafu,yawezekana akapigiwa simu kukumbushwa tu kua,mzee unawakumbuka wale vijana wa kesi ile,wamepatwa na hili na lile,sijui yatakua ni yaleyale au kuna mengine,na Sirro yawezekana akajibu kutokana na uzoefu wake kwenye hilo jeshi,nakuwashauri cha kuendelea nacho.Haya mambo bhana,yanauma sana,sikia tu kwa mwenzako kuhusu kukaa ndani,bado uteswe,mmmh... kama huyo aliyesema alichomwa matakoni,najua anayo hasira sana kama kasingiziwa.
Hii kesi ya Mbowe Ni kusudio Sana ili tujuwe maovu ya hao makatiri polisi
 
Huyu Kingai ni shetani mkubwa. Binadamu wote tutakufa siku moja, lakini jitu katili kama hilo Kingai, likiondoka Duniani, ni faraja kubwa kwa wana wa Mungu.

Ni sawa na mbwa mwitu akifa katikati ya kondoo, ni dhahiri kondoo wataweza kupumua kwa amani na uhuru.

Mwenyezi Mungu wewe ni muweza wa yote. Sisi sote ni wadhambi, lakini wengine ni si wadhbi tu, bali ni maharamia maana wapo Duniani kwaajili ya kutesa na kuangamiza watu wako. Uwatazame wale maharamia wanaowatesa na kuwadhulumu watu wako kwa nafasi walizo nazo kama kuwa polisi au watoa amri kwa polisi. Tunaomba sana, hawa wakutane na mkono wako wenye nguvu, na laana kuu ikakae juu ya vichwa vyao ili wasiutukane ukuu wako hata wakaona wana mamlaka ya kiamua nani aishi kwa furaha, nani ateseke; nani aishi na nani asiishi.

Mamlaka na ukuu wako uwaoneshe kuwa wao si lolote wala chochote, bila ya wewe.
 
Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Umesema vema kuwa tunatofautiana. Wewe inaonekana umejichamganya sana kwa kutoelewa.

Hata jaji amefikia hatua ya kumwambia wakili wa serikali aulize maswali. Analeta stories. Na akiendelea na stories anachukua muda mrefu, na huku yeye jaji asielewe hata ni nini anachotaka kuuliza. Akamwambia, 'go straight'.
 
Kingai ni jambazi na ni mwizi. Alikwapua pesa ya mtuhumiwa.

Sasa naelewa kwa nini Kibatala aliuliza kuhusu taratibu za matumizi ya pesa ya serikali. Aliuliza kama kulikuwa na retirement, shahidi akasema, hapana.
 
Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Ukiuasoma maswali ya wakili wa serikali hayaeleweki.Hata muheshimiwa jaji alikuonya mara kadhaa.
 
Mkuu umekaa chini unawezaje kuchomwa bisibisi matakoni? Kama hilo linawezekana basi mwanamke mjamzito naye anaweza kutolewa bikira
 
huo ni utaratibu wa kawaida,kina kim kardashian wanalindwa na askari wastaafu wa jeshi la Marekani, ukiwa na pesa ushindwe wewe tu
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…