Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Na alipe kisasi
 
Tulikuwa tunapelekwa TALEBAN. Tumshukuru Mungu kwani ALIZUIA tusifike. AMEN
 
Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Aaah wap pale wameshajiandaa mkuu na pale akie muhoji ni wakili wa upande wa utetezi kwa maana mteja wake issue inakujaga wakiibuka upande wa pili/ mashtaka wale ndiyo watetereshaji! Kwani ata Afande Kingai kipindi wakili wa serikali akimuhoji uliona akitikisika? Alikuwa anateleza tu ila kibatara alimtoa njian
 
Yaani RPC mzima unamkamata mtuhumiwa kisha tena wewe mwenyewe unampora hela yake....!!!! Hiyo ndiyo Tanzania police force.

Kila siku watu kati ya 40-50 nchini hubambikiwa kesi na mapolisi ndio kusema zaidi ya nusu ya wafungwa Tanzania hawana makosa ni wahanga wa ubambikaji vyesi.
 
Kuuliza sio ujinga...hivi komandoo amestaafu ? Mbona bado kijana
 
Yeye ni komando anaelewa akikamata mateka ili aseme anachokifahamu lazima ampe mateso makali. Alafu mtuhumiwa wa ugaidi ahojiwi kwa maneno matamu shekhe ni vitendo tu had anasema mwenyewe kama walivyofanya hao wasaidizi wa mbowe
 
Yaaani kama Rpc alichukua pesa zake na kama hazikuandikishwa kaunta wakati wa kuingizwa mahabusu huo ni wizi,wizi haukubaliki kwa mtumishi wa serikali ni kosa la kumfukuzisha kazi moja kwa moja bila mjadala pale inapothibitika
 
Yaaani kama Rpc alichukua pesa zake na kama hazikuandikishwa kaunta wakati wa kuingizwa mahabusu huo ni wizi,wizi haukubaliki kwa mtumishi wa serikali ni kosa la kumfukuzisha kazi moja kwa moja bila mjadala pale inapothibitika
Hilo ndio Jeshi la polisi Tanzania
 
Si tu hvyo! Nadhan Kuna hati hati pia ya kuleta uhasama Kati ya jwtz vs PT endapo viongozi wasipokuwa makini!
Usidanganye watu hao ni askari waliofukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu.
Hata polisi waasi wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…