Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Na hii inatokea kwa nchi hii tu. Huyo mtu muhimu sana. Hapo unakuta hiyo sababu ya kumstafisha waliyoitoa unakuta sio hiyo. Nyuma ya pazia unakuta kuna jambo kubwa,wakafanya hicho ndio kisingizio.

Wanajeshi wa marekani waliotumika kwenye vita kama mfano Iraq, wakirudi nchini mwao wanapewa kitengo kingine. Huwezi kumpiga chini kijana mkakamavu kama huyo.

Mbona yuko vizuri tu hata kiakili. Toka hii kesi ianze huyu Adamoo nimemuelewa sana. Ndie mtu aliejieleza vizuri sana.
 

Na wangoje sasa atokee jumatatu akiwa kajiandaa.

Jumatatu Adamoo anakuja akijua anakuja kuwa cross examined na atakuwa kafundwa rasmi.

Gaidi? W.S anamsogelea kiasi cha kuambiwa na jaji asimrushie shahidi mate mate ya Majaliwa na barakoa zake za kushona kijiweni?!

Gaidi huyo?

Kitaumana!
 
Usidanganye watu hao ni askari waliofukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu.
Hata polisi waasi wapo.
Ni maelezo Yap ambapo umemsikia Adamoo anasema kafukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu?
Ebu shirikisha ubongo wako Basi kabla hujashadadia mambo!

Unafikiri makomandoo wenzake alokua nao wanajiskiaje alivyoelezea mateso aliyopitia?
 
Umesahau kumtaja mama yako nae atalindwa au vp cha msingi aongee vizuri na makomandoo au vp
 
Na unavyosema yawezekana kuna mambo nyuma ya pazia,yawezekana in kweli,ila fairness hakuna kabisa,pole yao.
 
Aliwaambia ukweli tu. Wakamuelewa. Na huo ujumbe anaendelea kuutuma mpaka sasa. Sitashangaa kama anaongea kiswahili kuliko Fundi Mchundo.
Kwa kweli sielewi kwa nini serikali wanaendelea na hii "charade" kwa sababu hamna namna wanaweza kushinda. Watuhumiwa wakikutwa na hatia watu wataamini kuwa ni kangaroo court na wamewaonea. Wakikutwa hawana hatia itathibitisha tu kuwa wamewaonea. Na kila mara polisi wanavyoonyesha ubabe ndio sifa ya serikali inavyozidi kuharibika na kuchafuka.

Hii kesi inatuchafua kuliko hotuba yeyote wanayoweza kutoa Lissu na Lema. Busara ingekuwa ni ku "cut our losses" na kuimaliza mapema iwezekanavyo. Labda inawezekana wameona kuwa DPP kutangaza nolle prosequi haitatosha maana itaonyesha kuwa yeye ni puppet. Kuwa ni bora kushindwa ili angalau waweze kusema kuwa Mahakama na DPP wako huru. Labda ndio maana mawakili wa serikali wanaonekana kama wako incompetent, hasa yule aliyekuwa anamhoji Adamooo!

Serikali iko between the rock and the hard place. Sitashangaa baada ya hapa mzigo huu akitwishwa mtu.

Amandla....
 
Lisu hakukamatwa!

Yeye anasema alipigiwa simu ya vitisho ndio akafungasha virago kukimbilia ubalozini!

Hakuna balozi yeyote mwenye ujeuri wa kwenda kumtoa mtu kituo cha polisi,

Walichofanya wale mabalozi ni kumsindikiza Lisu kutoka ubalozini hadi Airport basi!

Lisu hakukamatwa popote!

Alikuwa na hamu ya kurudi kwa Amsterdam ndio akatengeneza ile movie ili apate uhalali wa yeye kurudi ublegiji
 
Nimeamini maneno aliyowahi niambia afisa mmoja toka JWTZ , kwamba makomadoo hutumia mifumo ya faham yote katika mazingira flani , Makomando ni akili KUBWA aisee, ADAMO ,namtangaza kuwa mwanafamilia yetu ,tutamtunza KWa wivu mkubwa na familia yake Hata hapo tukiwa madarakani,
 
Yule bwana Adom aliambiwa aseme amekamatiwa tabora na aongope jina lake halisi... Mbinu zao ni zaidi ya kigaidi
Yaani hawa polisi wetu ni janjaweed ndani ya combat la polisi...halafu wanasingizia watu kesi ya ugaidi kumbe ni wao... ni zamu yao sasa watundikwe kama popo huko mahakamani na ushahidi wao wamevurugwa hadi madishi yameyumba ...WS wamsogelea shahidi bila balakoa hadi judge anaungilia kati...ubabe wao una mwisho na Mara nyingi mwisho sio mzuri
 
Yule bwana Adom aliambiwa aseme amekamatiwa tabora na aongope jina lake halisi... Mbinu zao ni zaidi ya kigaidi
Yaani hawa polisi wetu ni janjaweed ndani ya combat la polisi...halafu wanasingizia watu kesi ya ugaidi kumbe ni wao... ni zamu yao sasa watundikwe kama popo huko mahakamani na ushahidi wao wamevurugwa hadi madishi yameyumba ...WS wamsogelea shahidi bila balakoa hadi judge anaungilia kati...ubabe wao una mwisho na Mara nyingi mwisho sio mzuri
 
Huwezi kuongea tofauti maana wewe Crimea ni miongoni mwa Walio mwaga damu ya LISSU,ni miongoni mwa waliomuua Ben Saanane ni miongoni mwa waliomtesa Adamoo ukishirikiana na Mahita na Kingai.Na kukumbusha tu auwaye Kwa upanga atakufa Kwa upanga.
 
Ni maelezo Yap ambapo umemsikia Adamoo anasema kafukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu?
Ebu shirikisha ubongo wako Basi kabla hujashadadia mambo!

Unafikiri makomandoo wenzake alokua nao wanajiskiaje alivyoelezea mateso aliyopitia?
Kama ni askari . Hapo kwa Mbowe amewekwa na Jwtz? Wewe ubongo wako ndio umegoma kuutumia, hata kama uko reserve basi Uingize hiki kipindi cha pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…