Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Hapo sasa umewaonea, ngoja niwatetee kidogo.
Ninaomba nirekebisha kidogo! Hawa wamejaa misuli ya ukamataji na ni wataalamu waliobobea wa kiintelijensia hasa inapohusu vyama vya upinzani. Inteligensia inayowapiga nusu kuputi wanapoona chama tawala wanakutana au kufanya maandamano! Hawa police wetu ni magenious!
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa

 
Hata ukisema tumbili na sokwe

Ndio mfumo uliopo

Ulitegemea tuwe na mfumo gani wa mahakama? Za kivyama?

Basi kwa huo uliopo ni vizuri mkafahamu wazi wazi kuwa haturidhiki nao iwe maamuzi ni -ve au +ve jana, leo au kesho.

Ndiyo maana hatuuafiki, hatuutaki, hatuna imani nao, haufai, hauwajibiki kutenda haki, ni wa kikandamizi, ni wa kidhwalimu, una mianya mingi ya kuhalalisha maelekezo kutoka juu, nk.

Ndiyo maana katiba mpya ni muhimu na ni suala la dharura sana kuliko huo uchumi wake anaodai kutaka kuusimamisha kwanza.
 
Mzoefu wa Mateso magumu na mabaya ya Jeshi la Polisi Tanzania , Mdude Nyagali wa Vwawa Mbozi , aliyeteswa gerezani kwa kubambikwa kesi ya uongo ya madawa ya kulevya , amejitokeza hadharani na kumpa pole Adam Kusekwa kwa mateso yote aliyokumbana nayo ili tu akubali kumsingizia Mbowe Ugaidi wa uongo .

 
ila watawala wa kiafrika wengi ni mashetani, unamtesa binadam mwenzako kiasi hiko utadhani nchi ni mali yako? dah! mungu awatilie wepesi wote wanaopitia mateso na awalaani watawala madhalimu na vizazi vyao.
 
Tuna polisi wa hovyo kupita magenge ya majalbazi. Na kuna chama na serikali, wanaoshabikia ushenzi huu. Ushenzi na unyama huu, ni lazima vikome.
 
Ha ha haaaa. Sasa kama kitu hujui ukikaa kimya ni dhambi?
Umenisikitisha sana
 
Who are you by the way?

Kama huutaki pole ndio mfumo uliopo hadi hapo changes zitakapotokea
 
Who are you by the way?

Kama huutaki pole ndio mfumo uliopo hadi hapo changes zitakapotokea

And who are you as well? That makes the two of us.

Haturidhiki nao na ndiyo maana tunataka mpya ambayo ni haki yetu.

Hata chimbuko la kesi hii ni harakati za kuukataa mfumo mbovu huu uliopo, hata mtoto mdogo anajua.

Habari yenyewe ndiyo hiyo.
 
And who are you as well? That makes the two of us.

Haturidhiki nao na ndiyo maana tunataka mpya ambayo ni haki yetu.

Hata chimbuko la kesi hii ni harakati za kuukataa mfumo mbovu huu uliopo, hata mtoto mdogo anajua.

Habari yenyewe ndiyo hiyo.
Gaidi haangalii katiba

Up your game
 
Gaidi haangalii katiba

Up your game

Ila Adamoo kaonyesha wazi wazi gaidi ni Kingai na wenzake.

Magaidi yaliwateka yakambambikizia bastola, madawa ya kulevya na vipigo juu.

Ukipenda meza au tema yote ni uamuzi wako.
 
Hii ikienda hewani Madhara yake kwa Jeshi la Polisi Yatakuwa Ya Milele
Wacha yawe ndio watakua makini kutoonesha upumb*vu wao wa wazi wazi sasa hivi wanachukulia kama ni kichaka cha wao kufanya mambo ya Ajabu Ajabu kama wanaofanya baadhi yao kweny hii kesi ya.,.....
 
Ila Adamoo kaonyesha wazi wazi gaidi ni Kingai na wenzake.

Magaidi yaliwateka yakambambikizia bastola, madawa ya kulevya na vipigo juu.

Ukipenda meza au tema yote ni uamuzi wako.
Unalala usingizi because polisi na Majeshi yote ya ulinzi na usalama yanakesha

Naona umekua too comfortable sasa unadharau vyombo vya ulinzi

Ulitaka arrest za former special forces zifanye Kwa mwendo wa ice cream na marashi?

Fala Kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…