Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021


..Baada ya uchaguzi Lissu alikamatwa huku maofisa wa balozi za ulaya wakishuhudia.

..Ni bahati kubwa sana kwa Lissu kwani maofisa hao walifuatilia na kuweza kumtoa korokoroni.

..Sielewi mabalozi walimtisha Magu na Sirro kwa kitu gani mpaka ikapelekea waufyate na kumuachi Lissu.

..soma hii habari hapa chini ili uthibitishe ninayokwambia.

 
Kesi ya Sabaya ni nyepesi kiasi kwamba hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria anatosha ....
 
Unalala usingizi because polisi na Majeshi yote ya ulinzi na usalama yanakesha

Naona umekua too comfortable sasa unadharau vyombo vya ulinzi

Ulitaka arrest za former special forces zifanye Kwa mwendo wa ice cream na marashi?

Fala Kweli wewe
Na wewe wakati mwingine tumia akili, kwani kukesha si KAZI yao walioichagua,? Na si wanalipwa mshahara,? Sasa inakuaje kumtesa mtu asie kuwa na hatia,

Some time tujivunze kuficha upumbavu wetu, haya ni Mambo ya kisiasa tu ,hakuna Cha UGAIDI Wala nini,
 
Kesi ya Sabaya ni nyepesi kiasi kwamba hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria anatosha ....
You are half right. Kama ni nyepesi kwanini mawakili wa utetezi wanakosa majibu ya hoja kama za kutoka nje ya kituo cha kazi bila kibali cha msimamizi wake? Au hoja ya kukusanya mapato bila kibali cha kamishna wa TRA?

All I am saying is, hakuna ujanja ujanja kwenye sheria, facts za kesi ndio zinakubeba au kukukandamiza.
 
Umenisaidia kuonesha jinsi kesi ilivyo nyepesi.... Polisi wanavuliwa nguo hadharani...

Ahsante sana
 
huo ni mguu au paja... !!!
 
Bongo upuuzi mwingi sana.
Yani upumbafu tu kila siku kesi na huyo bwege,either mfungeni au mumwache.
Kesi gani hii kila siku mpunga unapigwa hela zetu za kodi zinaenda.
bwege nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…