Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021


Kuna mamburumundu ya kijani hapa:



eti kwa kuwa tu na mikuyenge yenye kudhani kila mwanamke inayomwona ni kahaba.

Wakamwulize Sirro na waliobakia, japo ringekuwa rire jiwe renyewe ndiyo ingependeza zaidi.
 

POLIFISIEM MUPOOOOOOOOO???

HAYA Wale ndezi walumumba jikusanyeni muaze kucheuwa.. mtasema hawa ni shangazi zake FAM


 
Tukae hapo.....

 
Mbona Lisu alisema alikimbilia ubalozini baada ya kupokea simu za vitisho?
 
Mitaa ya makahaba anayoiongelea lion Chawene huijui? Waheshimiwa hao ni hawa hapa:




Don't judge a book by it's cover.

Usisahau Jiwe, Sirro & Company Ltd waliwagwaya hao JKNIA si muda mrefu uliopita.
aisee, naona wamekuja kushuhudia jinsi Tanzania ikijitangazia UGAIDI wao kwa mataifa.
 
Haya maelezo ya shahidi ni ya maumivu sana Mungu tu ndiyo alizidi kumpa pumzi, kwa kweli kuna watu ni watesaji na dhuluma ya haki, ila Mungu mwisho wa hii kesi ataweka watu wazi na uchafu wao
 
Kwa haya yanayosimuliwa huoni kuna mambo yanatakiwa yafichwe, dah kuna watu wasio na hatia wanapitia hard time sana
 
Mungu ingilia Kati kwa kweli kwa ushahidi wa mtuhumiwa inaonyesha kuwa yote walioongea ni uongo tupu kuwa hawakuwapiga,pia kuwa walikuwa nao sehemu mbalimbali wakimtafta mtuhumiwa mwingine.mithali 14:34 haki huinua Taifa.
Tena wakasema eti waliwanunulia nyama choma na Mo energy!

Kiukweli, yote hayo waliyofanyiwa, mfano kuteswa na kubambikiwa silaha na madawa, ni mambo ya kawaida kabisa kwa polisi wa Tanzania. Ndiyo maana wao hawaoni hata aibu maana ni mambo yaliyozoeleka kabisa.
 
Halafu jitu hilohilo linaloingizia binadamu wenzake bisibisi za matakoni linaenda kanisani kabisa ama msikitini kusali, Mungu awasamehe tu maana mtawala dhalimu aliamua kuwatumia kwa manufaa yake binafsi. Only in Tanzania Komandoo anakamatwa na polisi anapewa mikesi ya buongo na Jeshi lipo linapiga saluti tu , kwanza huu ni uhuni udhalilishaji na ounevu tena sio UTU. Kuna watu watakua kuni za wengine kwenye hiyo siku ya mwisho kama ipo. Shame on POLICICM
 
Wapo wengi sana waliopo lock up kwa kesi za kubumba. Wengi sana mkuu Mbona ni kawaida kabisa?
 
Nawaza tu,huyu komandoo akipata fursa,si ndio yale yale ya Hamza yanajirudia?
Kwa mateso hayo,askari wengine wanaweza kuja kulipa gharama!
 
teh teh teh huyo ni mzungu sio mmatumbi, uoni Wazuru wanavyowapiga na kuwa tweza wamatumbi wenzao ila wazungu hawana shida nao.
 
Hii kesi ikiisha na kingai hana kazi, mamlaka yake ya uteuzi inapaswa itengue nafasi aliyonayo na afikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo akajibu mashitaka ya kutesa Raia wasio na hatia

Ila mama hakupaswa kabisa kuizungumzia hii kesi siku ile alipohijiwa na kikeke, mpaka hapa aibu naona Mimi kwa madame presidaa kuingia kichwa kichwa na kusema eti baadhi ya magaidi tayari wapo kutumikia vifungo vyao bado mbowe na wenzake.
 
Nimesikitika kuona comandoo anakamatwa kizembe na raia mkakamavu(polisi), nilitegemea wangekinukisha vya kutosha mpaka waje special task kutoka kikosi cha makomandoo
Kama vile upo kwenye akili yangu. Mimi pia imenishangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…