Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Wanajua alipo...waliofungua kesi siyo wajingaKama Polisi wamesema mahakamani hawajui Mdude yuko wapi watamletaje?
Kwahiyo na kwa Saanane wanajua alipo ndio maana hawajawahi kufungua kesi maana sio wajinga? Nimekusoma!ππππWanajua alipo...waliofungua kesi siyo wajinga