Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba 2024 mbele ya Jaji Pomo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mbeya.
Soma, Pia: Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo
Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali ambayo ilikuwa inakuja kusikilizwa leo tarehe 26 Nov.2024 imeahirishwa na itakuja kusikilizwa tarehe 28 Nov.2024 Mbele ya Mh.Jaji.Pomo .Katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Mbeya.