Kesi ya Mengi

Kuna habari kuwa aliyekuwa mke wa Mengi ameshinda kesi hivyo amekabidhiwa urithi wote ulioachwa na Mengi.
Mwenye taarifa zaidi atujuze kulikoni!

View attachment 2336443View attachment 2336444
Kuomba review sio kushinda kesi bali kufanya mapitio ya hukumu.
Baada ya review ndiopo mahakama inaweza kutengua hukumu hivyo kuelekeza kesi ifanyiwe mapitio upya na hukumu mpya itolewe.

Nafikiri ndicho kilichotokea
 
Kila mali ya mzee mengi ikiwemo na ya bii mkubwa aliye tangulia mbele ya haki inawekwa mezani na kugawanywa upya, chezea jaq wewe, wao walianza na yeye anawamaliza, ila huyo mzee alikuwa ndina kweli kweli, tamaa zake zimeiletea familia shida na karaha tupu
 
Kuomba review sio kushinda kesi bali kufanya mapitio ya hukumu.
Baada ya review ndiopo mahakama inaweza kutengua hukumu hivyo kuelekeza kesi ifanyiwe mapitio upya na hukumu mpya itolewe.

Nafikiri ndicho kilichotokea
Umesoma habari yote?
 
Hili jambo linafikirisha sana, linatupa funzo kwa wenye wazazi wazee hasa wenye hela inabidi kukaa nao kwa tahadhari sana na kumonitor mienendo yao bila hivyo wanaaibisha familia
 
Kinachopelekea wazee kuoa uzeen ni upweke na kujihisi kukosa upendo wa watu wa karibu. Hasa kama mama amefariki au wametengana na pengine watoto wote wamekua wakubwa. Kila mtoto anakuwa bize na kazi na familia yake. Mzee anaona suluhisho ni kuoa mke mpya a_feel tena upendo wa familia. Inapotokea mzee amefariki ndio watoto wale wale waliokuwa bize na maisha wanaanza kuanzisha haya tunayoyaona. Hao wanawake wanaoolewa na wazee wetu hawajawalazimisha wazee wetu wawaoe! Wanaoa kwa hiyari yao.

Tuwe karibu na wazee wetu jamani. Utakuta mtu anakaa miaka kibao hajaenda kumcheki mzee. Na likizo anapata anamalizia kwake. Yani kuonana na mzee ni mpaka kuwe na tukio la kifamilia. Hiyo simu tu kupiga ni kazi. Hakuna binadamu asiyehitaji upendo.
 
Hapo ndipo utaona umuhimu wa prenup agrement
Na hii kwa bongo haifanyi kazi

Ova
 
Hili jambo linafikirisha sana, linatupa funzo kwa wenye wazazi wazee hasa wenye hela inabidi kukaa nao kwa tahadhari sana na kumonitor mienendo yao bila hivyo wanaaibisha familia
Kuna wazee wengine hawapendi kuwashirikisha watoto zao kwenye
Mambo yao ya kifedha nk

Ova
 
Hataweza wamachame wewe
Tupo hapa jmn
Ngoja tuendelee kushuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…