favourismyname JF-Expert Member Joined Jul 17, 2022 Posts 403 Reaction score 361 Aug 29, 2022 #21 Benno Bongo said: Hapo noma, hawa watoto wa Mengi wasipokuwa makini watakuja kuomba ajira kwa Jack Click to expand... Sio rahisi km unavyodhani Acha tusubiri
Benno Bongo said: Hapo noma, hawa watoto wa Mengi wasipokuwa makini watakuja kuomba ajira kwa Jack Click to expand... Sio rahisi km unavyodhani Acha tusubiri
Puncler JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 1,386 Reaction score 1,888 Aug 29, 2022 #22 favourismyname said: Hataweza wamachame wewe Tupo hapa jmn Ngoja tuendelee kushuhudia Click to expand... Pale mja anapolazimisha kuuaminisha umma yakuwa eti 'Wamachame' ni 'miungu-watu' hivyo hakuna binadamu anayeweza kuwashinda au kuwakabili kwa lolote.
favourismyname said: Hataweza wamachame wewe Tupo hapa jmn Ngoja tuendelee kushuhudia Click to expand... Pale mja anapolazimisha kuuaminisha umma yakuwa eti 'Wamachame' ni 'miungu-watu' hivyo hakuna binadamu anayeweza kuwashinda au kuwakabili kwa lolote.