Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam.
Pia soma: Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria