Elections 2010 Kesi ya mungai yasogezwa mbele

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
KESI YA MUNGAI YASOGEZWA MBELE


Kesi inamkabili , waziri wa zamani wa jk, J MUNGAI, imehairishwa hadi oct 15,

Aliyekuwa waziri wa serikali zote nne za jamhuri ya muungano wa Tanzania na mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazin (mstaafu) Bw Joseph James Mungai ( kulia) akitoka katika jengo la mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa leo baada ya kesi yake inayomkabili ya tuhuma za rushwa katika kura za maoni CCM kusogezwa mbele hadi Octoba 15 mwaka huu
Bw Moses Masasi (mbele) ambaye ni mmoja kati ya watuhumiwa wawili waliounganishwa na Mungai akitoka mahakamani hapo asubuhi ya leo
Bw Mungai na ndugu na jamaa zake wakitoka mahakamani hapo

Hapa akiingia katika gari tayari kwa kuondoka mahakamani hapo
 
Huyu mzee wa watu wamemmemshushia heshima bure. Kama ni rushwa walitakiwa wamkamate Kikwete kwanza kabla ya wengine wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…