Kesi ya Mwakezaji inapokuwa ngumu....

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
JE WAWEZA KUMPIGA PICHA YA VIDEO POLISI APOKUCHUNGUZA AKAMUACHA SALAMA??

Hivi ndivyo inavyokuwa ngumu kwa Polisi kupeleleza baadhi ya kesi si tu kutokana na kukosa vitendea kazi, bali pia hofu na pengine kutoelewa lugha, na pengine kukosa ushirkiano wa kutosha toka wakwa mtuhumiwa au malalmikaji.

Habari hii hapa chini imewekwa kwenye tovuti na wathirika wa tukio lililohusu tuhuma za Wizi wa Mifugo kati ya Mwekezaji wa Kizungu kwa nia ya kujaribu kuonyesha ni jinsi gani mfumo mzima wa kushughulikia kesi wa Tanzania ulivyo duni na wenye kujaa uonevu, rushwa, upendeleo na ukandamizaji.

Binafsi nashangaa sana iwapo kuna mzawa wa anayeweza kuthubutu kumpiga picha ya mnato (still picture) au video afisa wa polisi akiwa kazini na tena anafanya uchunguzi lakini baadae akakuacha salama asikunyang'anye hiyo kamera yako na kukupeleka kituoni na kukufungulia shtaka la kumzuia kutekeleza majukumu yake akiwa kazini.



[ [/ame]

Mzigo Mkubwa kwa Afisa upepelezi kujieleza!

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=iEoHcPo0ACk&feature=related"] [/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=V-iyNb4MSK4&feature=related"] [/ame]



[/ame]

http://www.youtube.com/watch?v=jk6-i1FNjLQ&feature=related"

[/ame]

"http://www.youtube.com/watch?v=rCf0dCipHss&feature=related

[/ame]
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…