Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana na la kasi la wimbi la ushoga kwenye jamii yetu kuanzia kwenye familia, mtaani hadi mashuleni
Mwalimu wa kiume anapofikia hatua ya kumshawishi mwanafunzi wake amlawiti sio kwamba amekosa mabasha wa kumfanyia hivyo. Binafsi naamini anafanya hivyo kimkakati.
Niliwahi kusikia kuwa hiyo ni mbinu moja wapo ya kueneza ushoga kwasababu baadae watu hao wawili hugeuzana wao kwa wao kisha hushawishi wengine
Ni dhahiri watoto hao wakishapata ujasiri hawawezi kuacha badala yake wataendelea hata baada ya shule.
Hii ni tafsiri kwamba miongoni mwa walimu kuna baadhi ni mawakala wa kueneza ushoga kwa watoto wetu.
Ni vema serikali iunde kikosi kazi maalumu kuchunguza walimu wenye viashiri hivyo ili waweze kushughulikiwa watoto wetu wabaki salama.
Kwa namna ilivyo, na kwa namna minong'ono ilivyo mingi miongoni mwa Walimu kuanzi wa shule za msingi hadi sekondari, shule binafsi hadi za serikali, za taasisi na za mashirika ya dini kuna mawakala wa kueneza ushoga.
Uchunguzi wa kina ufanyike, mtashuhudia mengi na makubwa zaidi ya hili la Mwalimu wa mtwara