Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

Mwizi wa mafuta ndio huyo huyo anamiliki mahakama zote nchini, usitegemee kesi yoyote hapo.
 
Mwenye pesa ana kesi Tanzania?
Majaji wenyewe ukitoa nondo kidogo tu anaahirisha kesi akachimbe pgo na kusikiliza ushauri wa polisi aliyeletta kesi.
 
Kesi yao ipo mahakama ya kisutu,
 
Na ripoti ya kuungua kwa soko la kkoo veeepee.

Kuna mtu alining'ata sikio kwamba lilikuwa ni agizo kumbe kutoka kwa chief hangaya mwenyewe😊.

NCHI ILOFITINIKA.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe ni mgeni na Tanzania? Angekuwa Mpinzani ndio KAIBA Mafuta ingetangaza Nchi nzima
 
Tumjue aliyewakamata (ambaye bila shaka atakuwa Jeshi la Polisi), halafu atuambie wale wezi wetu wako wapi?
RCO atakwambia yeye kamaliza kazi yake na file liko kwa DDP, na DPP ndiyo mwenye maamuzi ya kupeleka kesi Mahakamani au kuaamua kulikalia Jalada bila kulitolea maamuzi yoyote yale! Na hakuna wa kumuhoji DPP kwa maamuzi yake!!
 
Mwenye pesa ana kesi Tanzania?
Majaji wenyewe ukitoa nondo kidogo tu anaahirisha kesi akachimbe pgo na kusikiliza ushauri wa polisi aliyeletta kesi.
Kuna kesi moja nilimshimtaki Mjenzi kwenye Mahakama ya mwanzo, Mjenzi akaitwa Mahakamani,kufika tu Mahakamani kumbe Hakimu alikua na shida ya kokoto Kama Lori tano hivi, Basi hapo hapo kesi yangu ikasahaulika watu wakaanza kuongea biashara ya kokoto! Nikapigwa tarehe mpaka Leo napigwa danadana! Maisha haya kiboko!!
 
RCO atakwambia yeye kamaliza kazi yake na file liko kwa DDP, na DPP ndiyo mwenye maamuzi ya kupeleka kesi Mahakamani au kuaamua kulikalia Jalada bila kulitolea maamuzi yoyote yale! Na hakuna wa kumuhoji DPP kwa maamuzi yake!!
Daah! Kama mambo ndo yako hivi, basi #KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…