B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Aug 25, 2012 #21 cacico said: kesi hii yatufundisha nini?? kudos kwako babu Mtambuzi. Click to expand... Kesi hii inatufundisha jinsi ushirikina unavyoweza kuwa chanzo cha mauaji ya watu katika jamii.
cacico said: kesi hii yatufundisha nini?? kudos kwako babu Mtambuzi. Click to expand... Kesi hii inatufundisha jinsi ushirikina unavyoweza kuwa chanzo cha mauaji ya watu katika jamii.
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,160 Reaction score 9,151 Aug 25, 2012 #22 Kimbweka said: Dah haya majina " MZEE MAKENDE" Click to expand... Teh teh teh...kila mtu ana maeneo yake ya kujidai na kila mtu ana fani yake, Kimbweka... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kimbweka said: Dah haya majina " MZEE MAKENDE" Click to expand... Teh teh teh...kila mtu ana maeneo yake ya kujidai na kila mtu ana fani yake, Kimbweka...
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,101 Reaction score 1,952 Aug 25, 2012 #23 Kimbweka said: Dah haya majina " MZEE MAKENDE" Click to expand... Kimbweka usinge-comment kuhusu hilo jina ningeshangaa mno. Ila taratibu mkuu, hapa sio jukwaa lileee...!
Kimbweka said: Dah haya majina " MZEE MAKENDE" Click to expand... Kimbweka usinge-comment kuhusu hilo jina ningeshangaa mno. Ila taratibu mkuu, hapa sio jukwaa lileee...!
mdida JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 1,607 Reaction score 775 Aug 27, 2012 #24 Kaka big up sana, unatufunza mengi kuhusu kesi za hapa nyumbani na huko ulaya keep it up
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 612 Aug 27, 2012 #25 It was another gud friday, cku ya kutafuta kisa toka Kwa Mtambuzi, big up 4 a nyc narration
Mkimbizi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 222 Reaction score 35 Aug 28, 2012 #26 Mtambuzi, as always. Mungu akuzidishie zaidi kwa kutupa stories zenye kuleta hisia. Najifunza kila siku kutokana na posts zako
Mtambuzi, as always. Mungu akuzidishie zaidi kwa kutupa stories zenye kuleta hisia. Najifunza kila siku kutokana na posts zako
chokambayaa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 546 Reaction score 69 Aug 29, 2012 #27 Mtambuzi i salute u, hakika simulizi zako zinasisimua na kufundisha big up man....