Ile kesi ya post election conflict iliyotokea kenya sasa ivi inaunguruma Live kutoka the Hague na kurushwa na kituo cha TV cha KBC. Wadau mlio karibu na luninga mnaweza kutazama. Na sasa iko katika confirmation hearing mmoja kati ya watuhumiwa anabananishwa kwa maswali.
Alamsiki.