Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Ni kweli na ndiyo maana watuhumiwa wakuu hapa nchini kama Chenge, Scotland Yard yawaita ni mashahidi.....how comes thieves were sheathed with the witness titular?Hiyo Kesi huko UK itaisha kimya kimya kwa faida ya maslahi ya UK. Ndio Maaana BAE walikubali kulipa fine. I can feel that lazima system ya kule iliwahakikishia kuwa the whole truth wont be uncovered.
Serikali ya UK ilibidi ifute kesi kama hii ya rushwa ya BAE kuuzia vifaa UAE. UAE kujua kuna watoto wa wafalme walihusika walitishia kusitsha mikatabaya kunuanua silaha UK. Kesi hiyo nao ilipotea. So hata Waingereza mbele ya maslahi yao wanapindisha mambo
Ni kweli na ndiyo maana watuhumiwa wakuu hapa nchini kama Chenge, Scotland Yard yawaita ni mashahidi.....how comes thieves were sheathed with the witness titular?
Ciku hizi wazungu nao wasanii, hamna kitu
Kuna yule mama alikuwa waziri alijiuzuru kwa kashfa hii lakini utashangaaa watanzania wenzetu waliopo huko UK hawajawai hata kuonyesha kukerwa na hili jambo walau kuandamana. People are busy opening matawi ya vyama Nje.
Nadhani hii kasumba ya kufungua matawi ya vyama nje ni kujaribu ku neutralise pressure ya watanzania wa nje. Na wanafanikiwa
Bado Tuna kesi Prof Costa Mahalu ya Ubalozi wa Italy sijui nayo vipi.??????
Nadhani itakuwa vizuri wanasheria watuwekee thread ya list and status ya kesi kubwa za UFISADI na status zake todate
Kakak una habari? hii ilishaisha sikunyingi, kilicho baki ni mahalu tu kudai fidia.