Hapa hutasikia watu wamesusia huduma za CRDB, Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Na Magufuli alikuwa Raisi na mwenyekiti wa ccm
Yule Bwana alichagua wahuniAnatakiwa nae awe mgeni wa mahakama labda wengine akina Ali hapi nao watajua Dhamana ya uongozi
Wameanza kulia na wakili wa TIGO… hizi kesi ni maksudi zinafanyika hivyo, historia inakwenda kuandikwa.Hapa hutasikia watu wamesusia huduma za CRDB, Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Falme ya uingereza walisambaza wahuni wa sampo hiyo dunia nzima na bado familia hii wanaheshimiwa na waliowaibia mali zao tena kwa kutawazwa kabisa ikibidi. Kupanga ni kuchagua.Yule Bwana alichagua wahuni
Sio chama hiko,hilo ni genge la kishetani.Hiki chama ni hatari...
huyu jamaa hatoki asijichekesheAlikuwa anajichekesha juzi lakini anajua kuwa atafia jela.
Kwa hiyo ile ndo kesi pendwa kwenu, kweli nyie mashetani wanapenda damu!! Haya endeleeni kufurahia mateso ya mwenzenu yenu yaja, kwani hakuna ajuae kesho yake!!!Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Aisee una stress sana. Hebu kunywa maji mengi au lia sana upunguze sonona.Kwa hiyo ile ndo kesi pendwa kwenu, kweli nyie mashetani wanapenda damu!! Haya endeleeni kufurahia mateso ya mwenzenu yenu yaja, kwani hakuna ajuae kesho yake!!!
Uozo wa serikali ya awamu ya tano.Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake.
Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa kwa video hizo kama ushahidi katika kesi hiyo lakini baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote, imekubali kuzipokea.
Katika video hizo, watu wawili wanaonekana wakiingia katika benki ya CRDB tawi la kwa Morombo mkoani Arusha na kuchukua maburungutu ya fedha ambazo ziliwekwa kwenye maboksi.
Afisa wa benki alionekana akiwa ameshika maboksi mkononi kabla ya kuanza kuhakiki fedha hizo na kuzipanga kwenye maboksi, kisha aliziweka juu ya kiziti chenye matairi na kwenda kuwakabidhi watu hao wawili.
Watu hao ambao mmoja anaonekana ni mtu wa makamo aliyevaa koti kubwa na mwingine ni kijana, walichukua maboksi hayo yenye fedha na kwenda kuingia nayo kwenye gari la bluu.
Video hizo zilitolewa kama sehemu ya ushahidi wa upande wa Jamhuri kupitia shahidi wake wa nne, Jonson Kisaka.
Ipo ile ya uvamizi CLOUDS FM akiwa na watu wenye siraha za kivita plainly.Hivi hatuez pata video Kama hizi za Bashite nae akamsaidie mwenzake kule. Hebu wadau wenye ushahidi tuukusanye tupate mawakili wa kutusaidia tujenge Tanzania yenye nidhamu
Kuna wakati ilisemwa alifika kwenye Yard akawa anachukua magari kwa nguvu hivi hao wadau hawakua na CCTV camera piaIpo ile ya uvamizi CLOUDS FM akiwa na watu wenye siraha za kivita plainly.
Wahuni gani haoFalme ya uingereza walisambaza wahuni wa sampo hiyo dunia nzima na bado familia hii wanaheshimiwa na waliowaibia mali zao tena kwa kutawazwa kabisa ikibidi. Kupanga ni kuchagua.
Kwenye YARD kukose CCTV Cams kweli? labda itatolewa baada ya jamaa kufunguliwa mashtaka. Hapa naona CLOUDS wana ground kubwa ya kufungua mashtaka ila ndo hivyo tena (May be it became a second TBC after Ruge's death) who knows?Kuna wakati ilisemwa alifika kwenye Yard akawa anachukua magari kwa nguvu hivi hao wadau hawakua na CCTV camera pia
7ya ni jambazi. Na ukimtetea unakosea moral audacity.Hapa hutasikia watu wamesusia huduma za CRDB, Subiri sasa ushahidi kama huu utolewe kwenye ile kesi pendwa utaskia kelele za watu tufunge akaunti CRDB.
Wewe una nn, muwasho?Aisee una stress sana. Hebu kunywa maji mengi au lia sana upunguze sonona.
Kama Mbowe alibyoitumia Ofisi ya KUB kutaka kufanya ugaidi.MTOTO ALIKUWA JAMBAZI KWELI, ALITUMIA SERIKALI KIVULI CHA WIZI, DAH
QengayAisee una stress sana. Hebu kunywa maji mengi au lia sana upunguze sonona.
Labda ye ndo awe Mbususu ya nyaparaHivi inamaana sabaya hataiona mbususu kwa miaka 30?