Ina maana CRDB haina siri kwa wateja wake?Hivi hatuez pata video Kama hizi za Bashite nae akamsaidie mwenzake kule. Hebu wadau wenye ushahidi tuukusanye tupate mawakili wa kutusaidia tujenge Tanzania yenye nidhamu
Attach hiyo video tuone mkuuMahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake.
Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa kwa video hizo kama ushahidi katika kesi hiyo lakini baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote, imekubali kuzipokea.
Katika video hizo, watu wawili wanaonekana wakiingia katika benki ya CRDB tawi la kwa Morombo mkoani Arusha na kuchukua maburungutu ya fedha ambazo ziliwekwa kwenye maboksi.
Afisa wa benki alionekana akiwa ameshika maboksi mkononi kabla ya kuanza kuhakiki fedha hizo na kuzipanga kwenye maboksi, kisha aliziweka juu ya kiziti chenye matairi na kwenda kuwakabidhi watu hao wawili.
Watu hao ambao mmoja anaonekana ni mtu wa makamo aliyevaa koti kubwa na mwingine ni kijana, walichukua maboksi hayo yenye fedha na kwenda kuingia nayo kwenye gari la bluu.
Video hizo zilitolewa kama sehemu ya ushahidi wa upande wa Jamhuri kupitia shahidi wake wa nne, Jonson Kisaka.
Atakua anaitwa nyetoman kwa miaka yote 30Hivi inamaana sabaya hataiona mbususu kwa miaka 30?
Ina maana CRDB haina siri kwa wateja wake?
we mwenye uwezo mkubwa umefika wapi? Ungekuwa na uwezo kunizidi ungekuwa kwenye CEOrt au unashindana na aki MO na Bakhresa mida hii. Bangladesh...
Kama sura haijaonekana,hazina mantikiSura ya Sabaya ilionekana?
Nitakapokuwa rais mwaka 2035 nitaishangaza dunia,awamu ya tano ya sita watakuwa na kesi ya kujibu,Kuna watu watakuwa kama Mbowe wa leo.Huwezi kutenga wizi wa sabaya na utawala wa magufuli. Kwa kifupi huo wizi alitumwa na magufuli..
HaijaonekanaSura ya Sabaya ilionekana?
Kazi ipoMahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake.
Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa kwa video hizo kama ushahidi katika kesi hiyo lakini baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote, imekubali kuzipokea.
Katika video hizo, watu wawili wanaonekana wakiingia katika benki ya CRDB tawi la kwa Morombo mkoani Arusha na kuchukua maburungutu ya fedha ambazo ziliwekwa kwenye maboksi.
Afisa wa benki alionekana akiwa ameshika maboksi mkononi kabla ya kuanza kuhakiki fedha hizo na kuzipanga kwenye maboksi, kisha aliziweka juu ya kiziti chenye matairi na kwenda kuwakabidhi watu hao wawili.
Watu hao ambao mmoja anaonekana ni mtu wa makamo aliyevaa koti kubwa na mwingine ni kijana, walichukua maboksi hayo yenye fedha na kwenda kuingia nayo kwenye gari la bluu.
Video hizo zilitolewa kama sehemu ya ushahidi wa upande wa Jamhuri kupitia shahidi wake wa nne, Jonson Kisaka.
Hakuna kesi ya ujambazi wa kutumia siraha yenye mvua kumi labda kwa huyu tuu...watu wananyoa ndefu 30...Jambazi Mvua Nyingine 10 hizo zinakuja.
Itoshe kusema mwenda ndio alikuwa jambazi kuu.MTOTO ALIKUWA JAMBAZI KWELI, ALITUMIA SERIKALI KIVULI CHA WIZI, DAH
Siri kwenye ujambazi.Ina maana CRDB haina siri kwa wateja wake?