Kesi ya Simon Mkondya aka Dr Manguruwe imeanza kusikilizwa Mahakama ya Kisutu

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Meneja na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha yanayomkabili Mkondya pekee yake.

Ndambala, mkazi wa Mikocheni B ametoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, anayesikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 31523 ya mwaka 2024.

Akiongozwa kutoa ushahidi wake na wakili wa Serikali, Neema Kibodya akishirikiana na Christopher Olembille, Ndambala

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…