Kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki inayowakabili Boniface Jackob na Malissa kuendelea Mahakama ya Kisutu

Kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki inayowakabili Boniface Jackob na Malissa kuendelea Mahakama ya Kisutu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024
1717633321964.png

Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake.

PIA SOMA
- Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

- Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake
 
Hahaha Boni aliombwa achukue pesa ahamie upande wa pili akagoma, sasa wanataka kumsilimisha kwa nguvu.
 
Mbowe naye aunganishwe huko.
maxresdefault.jpg

Picha kutoka mitandaoni


Kuna kiporo cha kesi yake na wenzie ya Ugaidi mahakamani. Ni zaidi ya Uchochezi na Taharuki.

Tatizo Jakobo na Malissa sio Mabilionea ili wawekwe kwenye maridhiano wakasamehewe na kutoswa.
 
Back
Top Bottom