Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 6, 2024 #1 Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024 Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake. PIA SOMA - Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu - Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake
Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024 Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake. PIA SOMA - Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu - Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Jun 6, 2024 #2 Hahaha Boni aliombwa achukue pesa ahamie upande wa pili akagoma, sasa wanataka kumsilimisha kwa nguvu.
Hahaha Boni aliombwa achukue pesa ahamie upande wa pili akagoma, sasa wanataka kumsilimisha kwa nguvu.
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Jun 6, 2024 #3 Twende kazi
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Jun 6, 2024 #4 Nanye Go said: Hahaha Boni aliombwa achukue pesa ahamie upande wa pili akagoma, sasa wanataka kumsilimisha kwa nguvu. Click to expand... Na kusilimishwa kwa nguvu si huambatana tohara(kutahiriwa) piaππ?
Nanye Go said: Hahaha Boni aliombwa achukue pesa ahamie upande wa pili akagoma, sasa wanataka kumsilimisha kwa nguvu. Click to expand... Na kusilimishwa kwa nguvu si huambatana tohara(kutahiriwa) piaππ?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jun 6, 2024 #5 Tuko live ngoja tuone mwisho wake
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Jun 6, 2024 #6 Mbowe naye aunganishwe huko. Picha kutoka mitandaoni Kuna kiporo cha kesi yake na wenzie ya Ugaidi mahakamani. Ni zaidi ya Uchochezi na Taharuki. Tatizo Jakobo na Malissa sio Mabilionea ili wawekwe kwenye maridhiano wakasamehewe na kutoswa.
Mbowe naye aunganishwe huko. Picha kutoka mitandaoni Kuna kiporo cha kesi yake na wenzie ya Ugaidi mahakamani. Ni zaidi ya Uchochezi na Taharuki. Tatizo Jakobo na Malissa sio Mabilionea ili wawekwe kwenye maridhiano wakasamehewe na kutoswa.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 6, 2024 Thread starter #7 Shadow7 said: Tuko live ngoja tuone mwisho wake Click to expand... πππππ