*MWANASHERIA ANALALAMIKA*
SICHUKUI TENA KESI YA NDOA
Kuna mteja alikuja nikamuandalia documents tukaenda mahakamani, kila nikimpigia hapokei najikuta mwenyewe daily. Kumbe washarudiana na mumewe kitambo na wanakusudia kunifungulia kesi ya uchochezi....
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]