Kesi ya udhamini

Diddy294

New Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Wana jamii naombeni msaada wenu hv kesi ya kumdhamini MTU aliefanya uhalifu akakimbiaa hua inakuaje Mahakamani
 
Mkuu dhamana ni sayansi kubwa sanaa, akiwa kaweka dhamana ya hela basi mahakama itazichukua hizo fedha kufidia uku utaratibu wa kumpata ukiendelea. Endapo akikimbia ila kadhaminiwa na watu basi mahakama inaweza kuonelea busara na kuwataka nyie mumtafte mumpate mkikosa basi mali zake zinaweza kuchukuliwa au nyie mliomdhamini mkafungwa hata nusu ya adhabu la kosa lake. Its complicated sana, ila wengi hua wanaenda jela tu.
 
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…