Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyo mdhungu kaja kudanga tu kortini. Haohao wanahudhuria kortini jioni utasikia haohao wametoa bilioni kadhaa kusapoti kazi nzuri ya serikali. Nyumbu huwa hamuwezi kujinasua na misimamo ya kijinga kama wataleban. Subirieni mvua zinamhusu DJ
Mungu ibariki CHADEMA Mungu zidi kumtia nguvu mwambaView attachment 1931761
Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .
View attachment 1931748View attachment 1931750
Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu .
View attachment 1931758
Endelea kutufuatilia ili kufahamu yanayojiri Mahakamani
Je na Mbowe naye nimpe salamu zako au ziishie kwa dada tu ?Mkuu, tunatumai kuwa mambo yatakuwa mazuri huko mahakamani. Halafu, huyo dada aliyechuchumaa mbele ya Mbowe amependeza na pete zake mononi na mguuni. Msalimie sana!
Huelewi kitu kijana, subiri upate ujira wako wa siku ya leo.Huyo mdhungu kaja kudanga tu kortini. Haohao wanahudhuria kortini jioni utasikia haohao wametoa bilioni kadhaa kusapoti kazi nzuri ya serikali. Nyumbu huwa hamuwezi kujinasua na misimamo ya kijinga kama wataleban. Subirieni mvua zinamhusu DJ
Msalimie na mpe pole zangu. Msalimie na kaka Mnyika na wengineo hapo. Usimsahau Wakili Msomi mwenzangu Peter KibatalaJe na Mbowe naye nimpe salamu zako au ziishie kwa dada tu ?
Nina hamu kubwa kujua hiyo hati mpya ya mashitaka wame edit namna gani?
Shetani lazima ashindweMungu ibariki CHADEMA Mungu zidi kumtia nguvu mwamba
Petro ina selective vision, yaani umeona mpaka pete za miguuni!Mkuu, tunatumai kuwa mambo yatakuwa mazuri huko mahakamani. Halafu, huyo dada aliyechuchumaa mbele ya Mbowe amependeza na pete zake mkononi na mguuni. Msalimie sana!
Huyo ni Mtoto wa Kamanda Mbowe,last born wake......karibuMkuu, tunatumai kuwa mambo yatakuwa mazuri huko mahakamani. Halafu, huyo dada aliyechuchumaa mbele ya Mbowe amependeza na pete zake mkononi na mguuni. Msalimie sana!
Ndugu yangu, yawezekana shetani ndie anakuendesha kushabikia sana dhulma kwa wengine bila hata chembe ya soni.Mvua nyingi zinamuhusu alifikiri kubadili jaji ndiyo suluhisho?
SAWA NDUGU MBOWE ATATOKA JE SABAYA VIPI ALE MVUA?Ndugu yangu, yawezekana shetani ndie anakuendesha kushabikia sana dhulma kwa wengine bila hata chembe ya soni.
Ninakuombea uhai ili uje na uwepo kushuhudia Mbowe akitoka akiwa HURU, nikitumaini kwamba itakusaidia kuachana na shetani pamoja na mambo yake yote.
Mungu mwenye upendo atakusamehe, kukupokea na kukufanya uwe kiumbe kipya.
AMEN
hao wanaenda kuhakikisha jamaa anakula mvua ngapi maana walimpa hela nyingi waingie madarakani ili waje kula rasilimali zetuNi vyema wakihudhuria, ili ikitokea sheria imemkuta na hatia na kapewa miaka kadhaa msipate mwanya wa kwenda kuwadanganya kama ilivyo kawaida yenu.