Kesi ya ugoni/uzinzi

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Heshima kwenu wakuu,

Naombeni msaada wenu, Jirani yangu amemfumania mke wake akiwa na njemba guest mchana kweupe, Njemba imefanikiwa kutoroka baada yavurugu kubwa.

Kisheria achukue hatua gani?
 
duu maisha ya siku hiz yananishangaza sana watu hawa tosheki. hao niwatu wazima watasuluhishana wenyewe
 
ni mawili:asamehe au ampe talaka maana hakuna kosa linalohalalisha talaka zaid ya hlo,ila mchakato wa talaka ni mref-inaonesha sheria imetungwa kutorahsisha talaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…