Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

Braza..... natamani kujua zaidi kuhusu huyu komando
 
Braza... nauomba huo mkasa wa Zacharia Hanspope
 
Tupe vitu mkuu... umefupisha sana
 
Hivi vipaji vya ukakamavu na ujasiri wa kuporomosha serikali hivi bado upo kweli ? Mi naona miaka hii tumejenga taifa la waoga, utii wa kupitiliza
 
Kingentengenezwa kitabu kwa ajili ya kumbukumbu ya kizazi cha sasa na badae
Wanaogopa kutengeneza kizazi cha majasiri; wanaona ni hatari kutengeneza kina Tamim wengine; so kitabu ama movies haiwezi ruhusiwa kutoka. Lakini ni history nzuri saana maana wengine tulikuwa high school kwa ivo hatujui nini hasa kilitokea na kwa sababu zipi hasa kutaka kuiangusha serikali ya Mchonga.

Asanteni wachagiaji kutujuza
 
Lugangjla muhaya aliekimbilia uingerezae
Uko Sahihi 100% Mkuu. Akhsante Sana Na Kula " Like " Yangu!
 
Umeelezea vizuri sana mkuu... Endelea kushusha nondo zaidi
 
Nilibahatika kukutana ,kuwa rafiki na ndugu wa Komred Capt.Maganga,alinihadithia na kunikumbusha mengi sana,maskini aliaga dunia kwa ugonjwa wa kisukari.Capt.Kadegho alikuja kuwa rafiki yangu ila siku hizi sijui alipo.Maganga alikuwa na uwezo mkubwa wa akili.Mzee Bagyemu aliaga mwaka jana,Kajaja niliwahi kumuona siku moja.Hawa jamaa walikuwa wazalendo sna ingawa hapa wengi wataishia.Hans Pope na ndugu yake ni makomando.
 
Story kama hizi sijui kwanini zina fichwafichwaaa.tukipenda vya nje mnatuita sio wazalendo.vya ndani mnavifichaaaaa khaaaaaaa.

Acheni hizooo banaaaa
 
Im
Imetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…