Kesi ya unyanyasaji yamnyemelea mchezaji wa Man. Utd, Anthony

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Wawakilishi wa aliyekuwa mchumba wa Antony, Gabriela Cavallin wanaandaa malalamiko dhidhi ya Antony kwa unyanyasaji wa nyumbani.

Hati yenye kurasa 70 kutoka kwa Wawakilishi wa Gabriela Cavallin inakusanya ushahidi wa tabia ya matusi na uchokozi uliofanywa na Antony

Antony anaweza kujibu makosa matatu tofauti huko Uingereza kulingana na wakili Vanessa

Source UOL Esporte
 
Hao mademu wanataka pesa na umaarufu tu. Greenwood washamualibia career yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…