Kesi ya Vinega: Kusaga Asanda, Afuta Kesi Kinyemela

WAFU FM

Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
49
Reaction score
24
Taarifa kwa umma:
Leo majira ya saa 7 vinega wengi walikuwa pale mahakama ya kisutu ili kuweza kujua ni madai gani yaliyowafanya waitwe mahakamani......madai ambayo kwa mujibu wa karani wa mahakama ambaye kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa jalada namba 294 kesi ya madai ya mwaka 2011...hakimu anaitwa moshi na karani wake anaitwa grace aliwaambia vinega kuwa kesi ilikuwa jana jambo ambalo sio kweli na pili kesi ilifutwa jana. Tunayo maswali mengi sana tunayojiuliza juu ya madai haya ambayo mpaka sasa vinega hawajayajua. Issue
ipo chini ya kitengo cha sheria na muda si mrefu tutauambia umma wa watanzania nini
kinafuata juu ya msala huu waliojitakia wafu fm.....!!!! Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wadau na vinega wote waliokuja kutoa sapoti kwa magenge ya mwenge na antivirus kwa ujumla. Tunajua wengine walishindwa kuja kwa kubanwa na majukumu ila hakija aribika kitu kwani bado tuko pamoja.
 
fungukeni basi tujue nini hasa wa madai hayo
 
Kama ni kweli good move bro Joe! Maana nilifika mahali nikajiuliza brother Joe anataka nini hasa? Hawa vijana si wakupuuza,wasikilizwe tu! Wengine wananidhamu ya uoga tu lakini soko limeharibika mno! Haki haiombwi ndio maana hawa vijana waliozaliwa na vipaji vya muziki wameamua kujitetea kwa namna yeyote! Kwa mfano kwa mtu anayejua muziki kuna mwenye shaka na uwezo wa mapacha? Kuna anayejua hata michano ya kwanza ya FID Q alikuwa anaiga swaga za mapacha? Lakini mapacha wanabaniwa sababu ya misimamo yao! Kuna kama mtandao ukisusiwa huku ni kote!
 
Safi sama Vinega, niko pamoja na nyie japo nipo mbali.
 
Unajiita WAFU FM halafu unaponda Wafu FM??!!!
Najua wewe ni mfuasi wa vinega kama tulivyo wengi wetu humu, ungejiita tu Kinega ili kupaisha Chama!!!
 
Back
Top Bottom