Kesi ya viongozi wa CHADEMA yapigwa kalenda hadi Desemba 23, 2019

Kesi ya viongozi wa CHADEMA yapigwa kalenda hadi Desemba 23, 2019

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Kesi Na. 112/2018 inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA na baadhi ya wabunge katika Mahakama ya Kisutu Dar es salaam, leo imeaihirishwa hadi Desemba 23/2019, saa 3 asubuhi, Shahidi wa 6 (D.W.9) Ester Bulaya (Mb) akitakiwa kupeleka hati yake ya kusafiria ndani ya saa 2 leo hii.

Sababu nyingine ni Wakili wa upande wa utetezi Peter Kibatala kupata dharura ya kifamilia ambayo imepelekea kushindwa kufika Mahakamani leo.
 
Mungu ukawasimamie hawa waja wako, uwatume Malaika wako wakawalinde na kuwaokoa ktk mikono ya adui yao
 
Back
Top Bottom