Ndugu wana jf. Naamini sote tumesikia tukio lilotokea india la kumbaka mwanamke na mpaka kumchafua chafua na kumueka katika hali mbaya. Hebu jambo hili tulitizame kama lingetutokea sisi wenyewe.
Je kama wewe ni mwanadada umefanyiwa ivyo, je ungependa watendaji wafanywe nini? Ungeridhika na sheria za mahakama za kumfunga mtendaji milele hali ya kuwa wewe unapata shida katika maisha yako wakati yeye anaendelea kuvuta hewa iliokua safi?