Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo: Tarimo alitoa ushahidi, kesi kuendelea Machi 17

Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo: Tarimo alitoa ushahidi, kesi kuendelea Machi 17

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo!

====

1741857805809.jpeg

Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake jinsi hali ilivyokuwa.

Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Machi 17.

Pia soma: Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025
 
Back
Top Bottom