Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Mar 13, 2025 #1 Wakuu, Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo! ==== Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake jinsi hali ilivyokuwa. Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Machi 17. Pia soma: Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025
Wakuu, Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo! ==== Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake jinsi hali ilivyokuwa. Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Machi 17. Pia soma: Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025