Kama lengai anakula bata nje haishangazi hata hawa kuna chance wakatoboa au mmoja ama wawili wakaangushiwa mzigo wengine wakaponyokaMashtaka mawili tu!
How?
Nilimuona Arusha kwenye supermarket moja mwisho wa mwaka jana.Hivi afande fatuma hajaunganishwa kwenye huu msala