Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto!

Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe.

Naomba kuwasilisha.
 
Itafute post iliyotwambia "humu" tumuulize aliyeleta hiyo habari.

Haya ndiyo mambo ya kuuliza lakini uwe specific.
 
Waliochepusha fedha ni vidagaa tu. Mapapa waliowatuma kuchepusha wapo. Na hao ndiyo wameiweka serikali mfukoni na serikali imewatii.

Ni kama lile sakata la uchotwaji wa fedha benki kuu. Tume iliundwa na uchunguzi ulipofanywa ikaonekana Kuna majinga makubwa. Ripoti ikawekwa kapuni.
 
Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto!

Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe.

Naomba kuwasilisha.
Uadilifu ndani ya ccm ni sifuri kabisa
 
Itakuwa wamekula kulingana na urefu wa kamba zao kama maelekezo yaliyotolewa. Hivyo, hamna kesi....!!
Namkumbuka Jiwe aliposema kuwa polisi kuchukua buku tano ni sawa maana ni ya kiwi
 
Back
Top Bottom