Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301

My take:
Kama Lissu atafanikiwa kuishawishi Mahakama kutopokea ushahidi huo kwa hoja alizozitoa Mahakamani siku ya jana,basi hii itakuwa ni historia na pigo kuwa kwa walioteta huo ushahidi.

Nimesikia kupitia Radio Free jinsi Lissu alivyopinga huo ushahidi na hoja alizotoa, nimejikuta nacheka peke yangu.

Kwa taarifa zaidi fungua hii link:

‘BANGI’ YA WEMA YAZUA UTATA MAHAKAMANI
 
Slip tujaze kidogo alisemaje, kidogo tu! this could be very interesting
 
Umeweka link haioneshi hoja alizotoa kupinga ushahidi, umesikiliza redio ila umeshindwa kuandika ulichokisikia, km watanzania tuko hivi km wewe lini tutarajie mabadiliko ya kifikira??? Acha ufala eleza km watu wengine wa humu wanavyoeleza
 
Huyu jamaa mbona anaipelekesha mahakama kama anavyotaka yeye,
 
Kama Kile Chama Wanatetea Had Wema Bas Me Acha Niendelee Kupga Kura Kwa Ccm Kura Ni Hiali Ya Mtu Mwenyew Kokote Atako Amua Kupga So Povu Luksa
 
Ukijua vitu mambo siku zote yanakunyookea. N a lissu anawanyanyasa hawa wanasheria wa serekali kwa sababu moja tu nayo ni kuwa they are not competent.
 
Utatakiwa ushahidi wa DNA kwenye hivyo vipsi vya msokoto ili kudhibitisha vilipita mdomoni mwa wema na havikuwa planted,

sasa huyu mkemia ana vifaa ama misokoto itumwe kwemye maabara za FBI kule state.

Afterall inakaa kama mkemia mkuu yuko compromised na politics
 
Kama Lissu atafanikiwa kuishawishi Mahakama kutopokea ushahidi huo kwa hoja alizozitoa Mahakamani siku ya jana,basi hii itakuwa ni historia na pigo kuwa kwa walioteta huo ushahidi.
Hiyo ndio kazi ya wakili wa utetezi kuvunja vunja mipango ya upande wa mashitaka na mbwembwe zingine.
Mwisho wa siku kielelezo kitapokelewa tu
 
Hata chidi benz walisema anaonewa ila ni suala la muda tu. Wema bangi anavuta sana,hii kesi iwe fundisho kwake ajitahidi aache bangi itampeleka pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…