Kesi ya Wema, mahakama yafurika atinga na wapambe kibao watu wapagawa

hahaha nicheke mie, sidiria nyekundu, simu nyekundu, sketi nyekundu, viatu vyekundu kitambaa cha kichwani chekundu dah! amemechishaje?
Mahakamani with a see-through top???!!......only in bongo!
 
Kwani habari hii ya lini?
Naona story za mihogo ya futari ndo zinakamilisha habari wakati ramadhan ishaisha zamaniiiiii!
Hizi outdated story za nini hapa jamani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
anafanya kazi gani huyu dada mjini ya kumuingizia kipato???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…