Kesi ya Wema Sepetu yapigwa kalenda tena mpk Nov 24

Kesi ya Wema Sepetu yapigwa kalenda tena mpk Nov 24

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.Ambapo Wakili wa serikali ameihairisha kesi hiyo mpaka Novemba 24 mwaka huu kutokana na muda kuwa mchache.


Bongo 5
 
Huyu mama anatafutiwa gereza tu. Iko siku atafungwa kwa kesi ambayo haina kichwa wala miguu.
 
Si watoe hukumu na hivi kahamia upande mwingine anaweza fungwa
 
Back
Top Bottom