Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,599 Reaction score 9,532 Nov 16, 2017 #1 Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.Ambapo Wakili wa serikali ameihairisha kesi hiyo mpaka Novemba 24 mwaka huu kutokana na muda kuwa mchache. Bongo 5
Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.Ambapo Wakili wa serikali ameihairisha kesi hiyo mpaka Novemba 24 mwaka huu kutokana na muda kuwa mchache. Bongo 5
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Nov 16, 2017 #2 Huyu mama anatafutiwa gereza tu. Iko siku atafungwa kwa kesi ambayo haina kichwa wala miguu.
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,620 Reaction score 27,589 Nov 16, 2017 #3 Si watoe hukumu na hivi kahamia upande mwingine anaweza fungwa