Wakubwa tumekuwa tunasikia watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakikamatwa. Kuna yule mama alikamatwa kunduchi na wengineo wengi hebu tupeni mrejesho hivi kesi za madawa ya kulevya tanzania huwa zinaisha?

Ziko kwenye hatua ya kutajwa kwakuwa upelelezi haujakamilika, wengi wa wanaokamatwa ni wabebaji tu wanaotumwa hivyo jeshi letu lina kazi kubwa ya kufuatilia hadi kwenye chanzo ambapo Maranyingi ni nje ya nchi
Hivyo tunawaomba wananchi wote kuwa na subira kipindi hiki cha upelelezi unaohusisha majeshi mengine nje ya nchi na mara usikilizwaji wa kesi hizo utakapoanza taarifa rasmi itatolewa