Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali.
Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa asilimia kubwa.
mfano umekamatwa na simu ya wizi uliyo nunua mfano tu,nyengine za kusingiziwa kwa sababu ya chuki au kushukiwa bila ushaidi.
wengi wanateseka sana magerezani. Mfano kuna jamaa mmoja mkoa X alikuwa na rafiki yeka wa kushibana basi huyo rafiki alifanya mauwaji na kukimbia ila kesi ikaangukia mikononi mwake sababu afahamu kilicho tokea.