Kwa uzoefu wangu ndani ya jamii asilimia kubwa ya watu wanaotuhumiwa kwa makosa kama wizi,ujambazi,uhaini,ugaidi,na ujangili huwa wana vinasaba au ukaribu na kesi wanazotuhumiwa nazo, so hata kama polisi wataamua tu kubambikiza mtu kesi fulani basi kwanza huwa wanahakikisha kuwa hiyo kesi ina m fit!! Yaani hata mtu akimwangalia mtuhumiwa huyo aone ufanano wake na tuhuma zake,
Sasa unamkuta mtu kuanzia sura hadi mwonekano ni jambazi mtupu, halafu amekamatiwa kwenye red light spot area,halafu background yake ni questionable, huyo anakuwa easy prey ya hao polisi wabambikaji.
To get rid of all that inakupasa ujue uishi vipi, uende wapi,ufanye nini, na uongee nini! Appearance yako ndiyo imebeba future yako, mkuu tukisema tutafute watu wanaobambikia watu wengine kesi hata wewe hutopona, yaani ile unapita zako barabarani au vichochoroni mara unakutana na mtu, yaani ile kumwangalia tu mwili unakusisimka, unakuwa hujui kama utaendelea kuwa salama sekunde kadhaa zijazo!! Appearance!! Kuhusu wabakaji hao ni special issue, maana hadi kuthibitika kuna mlolongo mrefu wa kisheria na kisayansi unaopaswa kuzingatiwa kabla ya kumbadili mtuhumiwa kuwa mhalifu kamili, mambo mengine tunajitakia wenyewe.